FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Mikia banaa...
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa game hii na ya jana, kama simba wasingehijack dili ya ngoma na angeenda utopoloni, tungeteseka mnooo kwa aina ya mpira wa yanga.
Hilo moja, pili simba haina namba 8, mzamiru hamna kitu kabisaaa, kaisha kweli kweli, anapoteza mipira mingi na hapigi pasi za hatari.

Kocha safari inamuita.
 
Hahahaha 🀣🀣🀣🀣 ila refa kaona Simba wanaweza fungwa kamaliza Mpira.
 
Hayoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom