FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Sisi tunachojuwa lile ni goli halali Singida wamenyimwa kwa dhulma.

Kama mpaka tajiri Mwamedi anawalalamikia kwa dhulma maana yake mmeshindikana.
Unachokijua uto hakiendani na sheria 18 za soka!! Tulia!! Usiyempenda kaja!! Jumapili unyama mwingi sana pape pale kwenye mshono!! Sishangai kuwa kafungwa singida lakini aliyeumia zadi ni uto!!! anaogopa unyama mwingiiiii!!!!
 
M
Maamuzi haya yameathiri kiasi kikubwa mpira wetu. Namna hii mpira timu zingine zinakatishwa tamaa kabisa. Maamuzi yale ni aibu kwa mpira wetu. Sijui kwa nini waamuzi kama hawa wasifungiwe maisha?.
Mwongoooo!!! Si useme tu unaogopa unyama mwingi kwenye mshonooooo!!! najua uto hajapona vizuri mshono wa 2-0!!
 
Shindeni uwanjani kihalali. Mapema hivi mmeanza kumtumia refa. Kwa mpira wa jana wa kubebwa vile ni aibu. Hata ingekuwa Yanga ndio imebebwa vile bado ningelaani vikali. Yanga ipo tu inawasubiri.
 
Shindeni uwanjani kihalali. Mapema hivi mmeanza kumtumia refa. Kwa mpira wa jana wa kubebwa vile ni aibu. Hata ingekuwa Yanga ndio imebebwa vile bado ningelaani vikali. Yanga ipo tu inawasubiri.
Ndiyo acha watusubiri: Msiyempenda kaja!! mshono umeshaanza kuwawasha!!! Poleni lakini hakuna jinsi!!
 
Uto wote wameshakula kona!! Utawatafuta kwa tochi hapa!! Wanajiuliza unyama mwingi utaumaje kwenye mshono???
 
Ila tuna mshukuru MKUDE kwa kuwadanganya YANGA kupiga penalti....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…