Lazima wewe ni punguani.Super League ni Mashindano Ya timu Kubwa Barani Afrika..... Endapo ukiona Timu Yako Haipo basi Ujue timu yako ni ndogo Afrika.
Afrika Mashariki na Kati Timu Pekee Kubwa ni Simba
Tp Mazembe wapo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima wewe ni punguani.Super League ni Mashindano Ya timu Kubwa Barani Afrika..... Endapo ukiona Timu Yako Haipo basi Ujue timu yako ni ndogo Afrika.
Afrika Mashariki na Kati Timu Pekee Kubwa ni Simba
Kwani ukubwa wa timu unapimwaje kama siyo performance ya uwanjani na makombe wanayopeleka makabatini mwao? Huwezi kusema una timu kubwa huku miaka miwili mzima huna kombe lolote hata la Mapinduzi.Super League ni Mashindano Ya timu Kubwa Barani Afrika..... Endapo ukiona Timu Yako Haipo basi Ujue timu yako ni ndogo Afrika.
Afrika Mashariki na Kati Timu Pekee Kubwa ni Simba
Tatizo la kocha ni kama ameanzisha ligi na Chama kugombania Ufame pale Simba!! Mfame pale ni Chama, na kocha naye anautaka ufalme!! Afadhali arudi Mgunda mapema!!Kwa game hii na ya jana, kama simba wasingehijack dili ya ngoma na angeenda utopoloni, tungeteseka mnooo kwa aina ya mpira wa yanga.
Hilo moja, pili simba haina namba 8, mzamiru hamna kitu kabisaaa, kaisha kweli kweli, anapoteza mipira mingi na hapigi pasi za hatari.
Kocha safari inamuita.
Unauliza majibu mkuu? au huna macho?Kwanini
Inaelekea kocha hataki beki zipande!! Mohamed Hussein husaidia sana kwenye kupanda, hata Inonga. Tukubali kwa kocha huyu tumepigwa na kitu kizito kichwani.Lazima tukubali..
Robertino anakosa ubunifu ktk attacking..
Mwanzo hadi mwisho cjaona creations ya clear chances zaidi ya crossing crossing crossing..
KwakweliSingida.nawaamini
Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timu
Kwani ukubwa wa timu unapimwaje kama siyo performance ya uwanjani na makombe wanayopeleka makabatini mwao? Huwezi kusema una timu kubwa huku miaka miwili mzima huna kombe lolote hata la Mapinduzi.
On a serious note, check usome press release ya CAF kujua timu zilizoshirki mwaka huu ziliteuliwaje. Mashindano mengine yote washiriki wake wanatokana na performnce yao kwenye ligi zao wakati hiyo ya super league haiko hivyo; inaangalia historia ya miaka mitano iliyopita hata kama wacheazji wote wamestaafu na waliobaki ni makinda tu.
Simlale mbona simba inawaumiza subiri jumapili kibu denis awaweke mimba ndo mtaelewaTulia wewe, ukweli lazima usemwe. Singida ni timu ya kuwapeleka matuta na majigambo yenu yote haya 🚮🚮🚮
Angalia line 2 alinyoosha flag kabla hata ya mpira kupigwa
Maagizo toka juuAngalia line 2 alinyoosha flag kabla hata ya mpira kupigwa
Tulikuwa tunamlaumu bure tu refa wawatu
Sisi tunachojuwa lile ni goli halali Singida wamenyimwa kwa dhulma.Angalia line 2 alinyoosha flag kabla hata ya mpira kupigwa
Tulikuwa tunamlaumu bure tu refa wawatu
Goli la offside siku hizi ni halali?Sisi tunachojuwa lile ni goli halali Singida wamenyimwa kwa dhulma.
Kama mpaka tajiri Mwamedi anawalalamikia kwa dhulma maana yake mmeshindikana.
Unawezaje kumwelewesha bubu?Goli la offside siku hizi ni halali?
Maamuzi haya yameathiri kiasi kikubwa mpira wetu. Namna hii mpira timu zingine zinakatishwa tamaa kabisa. Maamuzi yale ni aibu kwa mpira wetu. Sijui kwa nini waamuzi kama hawa wasifungiwe maisha?.Kwa timu hii iliyobebwa na Madam mkaenda matuta?