mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwani huyo popoma ndo nani?Hivi popoma kapigwa ban ?
Maana naona yupo kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyo popoma ndo nani?Hivi popoma kapigwa ban ?
Maana naona yupo kimya
Pole, usiyempenda kaja!! sijui utajificha wapi!Singida wajinga wametoka pumbafu
Unazi huo unakudanganya!! Namba hazidanganyi, angalia takwimu za mchezo!!. Shoots on target & ball possession & corner kicks!! Kwa kuzingatia takwimu hizi mshindi alikuwa ni mmoja tu, na ndiye huyo kaibuka kidedea!! Usiyempenda kaja!! jitie nguvu tu kukabiliana naye!! utopolo wanaanza kugwaya!!Hii mechi kwa wazi kabisa Singida walistahiri kupita
Ziliongezwa dakika 4, kipenga cha mwisho kimepulizwa dak ya 95, wewe ulitaka goli nje ya muda? Pole usiyemtaka kaja!!refa kapuliza filimbi kolo alipo shambuliwa hahahah aibu ya wazi wazi
alipo shambulia simba tayari dk zilisha isha mbona hakupuliza kipenga hadi alipo ona wanashambuliwaZiliongezwa dakika 4, kipenga cha mwisho kimepulizwa dak ya 95, wewe ulitaka goli nje ya muda? Pole usiyemtaka kaja!!
Umesema ukweli, na itathibitika kwenye mchezo baina yao kusaka mshindi wa tatu. Kamoa utopolo wangekutana na singida big stars saa hii wangekuwa wanajiandaa kwa mechi ya mshindi wa tatu!!Singida ni bora kuliko Azam msimu huu
Anyway aibu ya jana inavumilikaHaha acha kujitoa ufahamu, point hapo ni kwamba hata matuta nayo ni magoli, kama yanaweza hadi kuipa timu kombe kwanini yasishangiliwe
Kipenga hupulizwa muda ukiisha na si kusubiri shambulizi liishe!! Kila timu nilikuwa na dk 90 za kusaka ushindi, ukishindwa kuzitumia hizo, afadhali ulalamikie kuwa dk 90 hazitoshi, heri sheria ibadilishwe ziwe dk 100, na ulkalamikie FIFA!!!alipo shambulia simba tayari dk zilisha isha mbona hakupuliza kipenga hadi alipo ona wanashambuliwa
kwa nini apulize kabla ya shambulizi kumalizika anategea kwenye katikati ya shambulizi ndio anapuliza kipenga
Nguvu moja matuta mengi[emoji881] nguvu 1
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nataka mfano wa matuta ya singida🤣🤣🤣Katolea mfano tu
Kwaio,ndo Kusema ndani ya Miaka Mitano iliyopita hakuna Timu Yenye Performance bora Kushinda Simba Kwa eneo lote la Afrika Mashariki na Kati.Kwani ukubwa wa timu unapimwaje kama siyo performance ya uwanjani na makombe wanayopeleka makabatini mwao? Huwezi kusema una timu kubwa huku miaka miwili mzima huna kombe lolote hata la Mapinduzi.
On a serious note, check usome press release ya CAF kujua timu zilizoshirki mwaka huu ziliteuliwaje. Mashindano mengine yote washiriki wake wanatokana na performnce yao kwenye ligi zao wakati hiyo ya super league haiko hivyo; inaangalia historia ya miaka mitano iliyopita hata kama wacheazji wote wamestaafu na waliobaki ni makinda tu.
Shujaa wenu ni huyu malayaGoli la offside siku hizi ni halali?
muda uliisha simba akiwa anashambulia mwamuzi hakuona kuna haja ya kupuliza hadi asubiri akishambuliwa nyaukKipenga hupulizwa muda ukiisha na si kusubiri shambulizi liishe!! Kila timu nilikuwa na dk 90 za kusaka ushindi, ukishindwa kuzitumia hizo, afadhali ulalamikie kuwa dk 90 hazitoshi, heri sheria ibadilishwe ziwe dk 100, na ulkalamikie FIFA!!!
hakuna refa hapa upumbavu mtupuShujaa wenu ni huyu malayaView attachment 2714321
Na pia watuelezee ubaya wa Binface Mkwasa au Fredy Felix Minziri akiwa kocha pale Yanga!!Nielezee ubaya wa JUMA MGUNDA akiwa kocha pale Simba Sc (team kubwa).
Binti Mrembo,bado Umri mdogo unamruhusu....!Shujaa wenu ni huyu malayaView attachment 2714321
Halafu ushindi wa simba umewauma sana utopolo kuliko hao singida wenyewe!! poleni!! msiyempenda kaja!! hakuna jinsi!! itabidi mjitie nguvu tu kukabiliana naye maana unyama mwingi utalenga hapo hapo kwenye mshono!!Mmmmmh sio level yangu. Naomba nikuache. Huna hoja
Poleni wana uto!! Jiandaenin mapema, unyama mwingi utaelekezwa kwenye mshono!! Msijifanyanye mmesahau kuwa mnao mshono!! (mshono wa Mnyama 2 - 0 Utopolo)Najaribu kuwaza kwa sauti kama ni kweli ile Simba iliyoenda Uturuki imesharudi Tanzania au bado