FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Kwahiyo hayo matuta ya singida ndio yatawapa kombe sio, kuweni serious aseee
Haha acha kujitoa ufahamu, point hapo ni kwamba hata matuta nayo ni magoli, kama yanaweza hadi kuipa timu kombe kwanini yasishangiliwe
 
Simba itacheza mchezo mzuri sana ambao haujapa kutoka katika taifa hili. Tanzania sasa hivi hakuna timu inayoweza kufikia standard za simba. Ni lazima Simba itakufa kiume tu katika mchezo huu; standard yao ni kubwa sana.
Bado unaamini katika huu u.s.h.u.z?!
 
Usajili wa hii Simba ndio huo huo wa CAF Super League au kuna usajili mwingine? Maana naona nchi inaenda kuingia kwenye aibu ya mwaka kama sio ya karne. Kwa Simba hii bora CAF wangeichagua Singida kwenda super League.
Halafu namuona kocha Robertinho akiwa kocha wa kwanza kufungasha virago kurudi kwao baada ya ligi kuanza. Na timu itakuwa kwa muda chini ya kocha Kaze. Povu rukhsa Nimekaa pale
 
Kwa upumbavu huu niliouona katika mechi hii ya Simba SC vs Singida FG nasema hamji kuniona tena katika jukwa hili. No mara waa. Huu ni upumbavu.

Im done.
Dalili za mikeka kuchanika ndio hizi[emoji15][emoji87]
 
Usajili wa hii Simba ndio huo huo wa CAF Super League au kuna usajili mwingine? Maana naona nchi inaenda kuingia kwenye aibu ya mwaka kama sio ya karne. Kwa Simba hii bora CAF wangeichagua Singida kwenda super League.
Halafu namuona kocha Robertinho akiwa kocha wa kwanza kufungasha virago kurudi kwao baada ya ligi kuanza. Na timu itakuwa kwa muda chini ya kocha Kaze. Povu rukhsa Nimekaa pale
Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timu
 
FB_IMG_16916955393469692.jpg
 
Kwa upumbavu huu niliouona katika mechi hii ya Simba SC vs Singida FG nasema hamji kuniona tena katika jukwa hili. No mara waa. Huu ni upumbavu.

Im done.
Acha uoga, tunajua unakimbia derby

1691695863770.png
 
Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timu

kuna timu roho mbaya zitawauwa[emoji23][emoji23][emoji23] hapo umeelezea vizuri ila kuna mijitu itakaza fuvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timu
Super League ni Mashindano Ya timu Kubwa Barani Afrika..... Endapo ukiona Timu Yako Haipo basi Ujue timu yako ni ndogo Afrika.

Afrika Mashariki na Kati Timu Pekee Kubwa ni Simba
 
Back
Top Bottom