makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ni kweli nyinyi uto jana mliupiga mwingo kuliko sisi, na mna cheza vizuri kitimu.
Ila game za simba na yanga si za kubetia.
Ila game za simba na yanga si za kubetia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto upi hapo?. Hata kuongea tu hujiamini. Maana kila msimu nyie ni kujisifia sana tumesajiri sana,lakini mkiletwa uwanjani ndio kama hivyo refa mpaka atumike sana. Refa mwenyewe inatakiwa awe na moyo ngumu kama huyu. Kuendelea kuwabeba tu hata kama mnatereza. Mnaharibu mpira kabisa nyieNa mlipenda ipite maana mnaogopa moto atakaoupeleka kwa Utopolo Jumapili lakini bahati haijawa yenu mnyama uso kwa uso na Utopolo Jumapili.
sanaYaani bila kuwa na refa leo tungeongea mengine
[emoji23][emoji23][emoji23]Usajili wa 3B huu... [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Lugha ya kawaida Sana mkuu sema watz tunakuza Sana mambo ndyo maana hata bandari inaenda hvyo kizembeSio sawa Lakini!!
Nazungumzia maadili yetu.
Wakati tunawafunga 2 tulikuwa na team?Huna timu, ile ya leo ni takataka mbele ya Yanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]badala walie kwa kutakacho wakuta mbele wao wanashangilia
watapasuka sana.uturuki wameenda kuuza ngada tuu.Iv huu ndio usajil wa billion 3 mwamed aliokua anausema au …ila Mudi mjanja sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri jibu utapata jumapiliSimba ndio hii ya uturuki?au IPO nyingine?
Usiwaze sana. TFF wenyewe walitaka fainali iwe ya Simba na YangaKwa upumbavu huu niliouona ktk mechi hii ..simba vs fountain..
Nasema hamji kuniona tena ktk jukwa hili. No mara waa . Huu ni upumbavu.
TFF ni wapumbavu wakubwaa.
Im done.
Nyie tutawafunga mapemaaMbwembwe nyingi za uturuki mnatolewa jasho la matako na waliokuwa Arusha pre- season? 😀