FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Na mlipenda ipite maana mnaogopa moto atakaoupeleka kwa Utopolo Jumapili lakini bahati haijawa yenu mnyama uso kwa uso na Utopolo Jumapili.
Moto upi hapo?. Hata kuongea tu hujiamini. Maana kila msimu nyie ni kujisifia sana tumesajiri sana,lakini mkiletwa uwanjani ndio kama hivyo refa mpaka atumike sana. Refa mwenyewe inatakiwa awe na moyo ngumu kama huyu. Kuendelea kuwabeba tu hata kama mnatereza. Mnaharibu mpira kabisa nyie
 
OP canfi usisahau simba hii isiyo na ubunifu na average ndio aliwafunga msimu uliopita, weka akiba ya maneno football ina mambo mengi unless otherwise uwe umechagua upande wa ushabiki maandazi, lakini kama ni mtu wa football utakuwa unanielewa ninachokizungumza, it’s a football. 🤝
 
Msiemtaka kaja..mlitegemea Singida ndio awe ngao yenu...mmefeli
 
Acha waje bana tumalizane. Watuamvie zile mbili walizipate na ile mvua. Watasema yote hapo jumapili.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Asa viongoz wa simba si mngesema tu ukwel kuwa Robatinho ni dalali wa magar brazil sio aya mambo mlouowafanyia wenzenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom