FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Mpaka Mpira unafika penati ujue timu zote nzuri ingekuwa mmoja katolewa Kwa dakika za kawaida kweli yote Kwa yote Acha tungoje j2 tuone
 
Iv mmemuona refa baada ya phir kushinda penat ya mwisho kakimbia kushangilia na wachezaji wa simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Mwaka huu Utopolo Mmeanza Malalamiko Mapema..!

Hakuna Goli halali Lililokataliwa, Au Penati iliyotolewa ya Mchongo..!

Ligi bado Haijaanza, hii ni Ngao tu mshaanza Kulia lia....!

Karia Mwaka huu ajiandae....!
 
Back
Top Bottom