FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Hivi huyo kocha kumfunga Yanga ya Nabi na Mayele alibahatisha au?
Yanga walikuja kwa kujiamini wakijua wangeshinda....Kikawapata cha kuwapata...

Na ndicho walichokuwa nacho Simba leo...waliona tayari mechi ya leo wameshinda..kiko wapi tumepelekwa hadi kwenye matuta..
 
Na bado...Kwa Utopolo wenu mliosajili mtalalamikia sana TFF.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Refa 0-1

😅😅😅 Asee Kama ndio katimu haka hata huko super cup ni aibu. Refa ametoa kadi zaidi ya 6 kwa Singida za kipuuzi.
 
Yanga walikuja kwa kujiamini wakijua wangeshinda....Kikawapata cha kuwapata...

Na ndicho walichokuwa nacho Simba leo...waliona tayari mechi ya leo wameshinda..kiko wapi tumepelekwa hadi kwenye matuta..
Yanga aliwataka makolo kwenye fa bahati mbaya wakatolewa na azam,yan hiyo jumapili makolo wajiandae hasa,Yanga hii match walikua wanaitaka
 
Kaka kiukweli yanga atatulawiti kama team ndio hiii . Makosa mengi tumeyafanya ambayo yanga wangetufunga .
Kwani Yanga hawakufanya makosa jana? Si ni vile Azam hawakuwa wazuri kama hawa Singida? By the way we learn through mistakes
 
Unawajengea uwezo vipi bila kuaminiwa team kubwa, huo uzoefu wataupata wapi?
Mizungu na miarabu ikija inapewa full package nyumba nzuri,gari, posho na mishahala mizuri, na inasikilizwa kwa kila kitu.Ila mswahili mwenzetu, hakuna chochote anachopewa kumfanya afanye kazi kwa ufanisi!!

Waafrica tuna magonjwa ya akili!! Unaona hata leo rasilimali zote za nchi tunawapa wazungu na waarabu!! Akiingia kiongozi mkristo anagawa rasilimali kwa mizungu!! Akiingia kiongozi mwisilamu anagawa kwa miarabu!! Africa tuna laana!!
 
Back
Top Bottom