kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Wamepiga Penati Kikubwa ...! Level Za Super League.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbweha sports kilabu 🤣Nimesema hapa kuwa simba ni timu dhaifu mno haistahili jina lake aitwe mbweha sports club tu, leo mmeona.
Haha acha kujitoa ufahamu, point hapo ni kwamba hata matuta nayo ni magoli, kama yanaweza hadi kuipa timu kombe kwanini yasishangiliweKwahiyo hayo matuta ya singida ndio yatawapa kombe sio, kuweni serious aseee
Bado unaamini katika huu u.s.h.u.z?!Simba itacheza mchezo mzuri sana ambao haujapa kutoka katika taifa hili. Tanzania sasa hivi hakuna timu inayoweza kufikia standard za simba. Ni lazima Simba itakufa kiume tu katika mchezo huu; standard yao ni kubwa sana.
Dalili za mikeka kuchanika ndio hizi[emoji15][emoji87]Kwa upumbavu huu niliouona katika mechi hii ya Simba SC vs Singida FG nasema hamji kuniona tena katika jukwa hili. No mara waa. Huu ni upumbavu.
Im done.
Yani anaiogopa simba huyu balaaaaaSababu hakuna matokeo uliyotegemea.
Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timuUsajili wa hii Simba ndio huo huo wa CAF Super League au kuna usajili mwingine? Maana naona nchi inaenda kuingia kwenye aibu ya mwaka kama sio ya karne. Kwa Simba hii bora CAF wangeichagua Singida kwenda super League.
Halafu namuona kocha Robertinho akiwa kocha wa kwanza kufungasha virago kurudi kwao baada ya ligi kuanza. Na timu itakuwa kwa muda chini ya kocha Kaze. Povu rukhsa Nimekaa pale
Wamebebwa nn?Leo bila kubebwa makolo FC ndio wangeishia hapo
Acha woga Jumapili imefika KIBU MKANDAJI afanye yakeLeo bila kubebwa makolo FC ndio wangeishia hapo
Acha uoga, tunajua unakimbia derbyKwa upumbavu huu niliouona katika mechi hii ya Simba SC vs Singida FG nasema hamji kuniona tena katika jukwa hili. No mara waa. Huu ni upumbavu.
Im done.
Malizia hii fainali ndipo uache kufuatilaKwa upumbavu huu niliouona katika mechi hii ya Simba SC vs Singida FG nasema hamji kuniona tena katika jukwa hili. No mara waa. Huu ni upumbavu.
Im done.
😀😀😀
Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timu
Super League ni Mashindano Ya timu Kubwa Barani Afrika..... Endapo ukiona Timu Yako Haipo basi Ujue timu yako ni ndogo Afrika.Nilisoma sehemu kuwa CAF Super league haingalii ubora wa timu leo, bali inaangalia historia ya miaka mitano ilyopita. Ndiyo maana hata Mazembe iliyoloweshwa na Yanga nyumbani na Ugenini imo kwenye hiyo Super league lakini yanga haimo. Lengo lake ni kuzipa pesa za asante timu ambazo ziliingizia CAF hela kwa miaka mitano iliyopita. CAF super league siyo kombe la ubora wa timu