Kupenda vyura inatosha achana na simba huwaweziKifupi nashangaa sana mashabiki wa simba sijui wanajivuniaga nini na li timu hovyo la karne kama simba...kifupi naiona kama paka shume tu...simba inalidhalilisha sana jina la simba mnyama wa porini, hii simba naichukia vizuri mno yaani
Piga nyau hao
Singida watamnyoosha Simba leo,hawataaminiSingida msiniangushe
Mara hii umeshamsahau kib diiii?Fanyeni makusudi mfungwe leo mtuachie huyo kolo tumuonyeshi kuwa Uturuki alikwenda kuchumbiwa tu.
Fanyeni makusudi hata ya kumpiga ngumi refa
unaota mkuu zindukaaaSingida watamnyoosha Simba leo,hawataamini
Shukrani bro. Usitusahau tulio mbali na TVMpira umeanza
Hapana, Ngoma aingie kama sub.Ila kwenye kiungo kocha angeanza na Ngoma