Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahala popote mimi nikiingia iwe dukani au kwenye huduma yoyote ile nikimkuta mwanamke nakosa hamu namna nitakavyohudumiwa.Sijui kwanini nikiona refa ni mwanamke basi nakuwa bored.
Siulisema nyie mko vizuri sana umeshabadilisha gia mara hiiNaomba tufungwe lobatinyo afungashiwe virago
Umeonaee! Hili ni funzo kwao.Walikuwa wanaropoka jana wengine walipokuwa wakicheza. Leo wanachocheza wao sasa, up*mb.
Na Simba Sc haijawahi kufanikiwa kirahisi kwenye penalty, mara zote tukifika huko huwa sina matarajio yoyote ya maana.Singida imejaa langoni...imepack bus.
Nadhani wanataka penalti...
Ni kazi sana labda...ubunifu binafsi..
Hahahaaaa. Hilo lolote hata halipo my dear. 😂😂Mbona hatusikii lolote kupo kimyaaa,hatujazoea hivi bhana[emoji23][emoji23]
WamezidiwaSingida wanacheza rafu sana
Ni hii tuChama anakosa mechi ipi na ipi
Kuwa na huruma basi sister unawezaje kufurahi mtu akiwa katika hali hiyoTeh teh. 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji857]Hahahaaaa. Hilo lolote hata halipo my dear. [emoji23][emoji23]