Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
😆😆😆 Ntibazokinza kakosa 😬Kwanza ngao sio kombe kihivyo basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆 Ntibazokinza kakosa 😬Kwanza ngao sio kombe kihivyo basi tu
Tunaenda kuwalipizia, Hio fainali watajuta kubebwa leoSingida wajinga wametoka pumbafu
Penalties ni moja kati ya matukio ya mpira ambayo si vizur kuyashudia ukiwa na presha.Jmn penati inatia presha hasa ikiwa inacheza timu yako.
Amefanyeje mbona mlimsifia sana simba dayMpaka hapa lobatinyo ni wa kufukuza
Yapo bossTimu yako umeionaje ?...
Matumaini ya kufanya vizuri msimu mpya unayaona ?
Hovyooo.. mambo ya hovyoooTatizo sio refa...
Fainali lazima iwe Simba na Tanga kwa sababu za kibiashara
Singida kakosa penati tumbafu zao jinga hawa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
AminaMungu kasikia dua zao
Wanazingua tuNdio kazi ya mashabiki hiyo yaani kushangilia na kuzomea.
Shangilia mbele ya watoto wako kama hauna aibuKakosaaaaa
Singida wanakosa penati