FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

At least Kakolanya anafuata ..
HUYU kipa SIMBA kama mtategemea penalti huko mbeleni.. haya
 
Wasouth pekee ndio wamefanikiwa kutoka kwenye mawazo ya kuamini zaidi wageni, karibia team zote kubwa pale South zipo mikononi mwa Wazawa.
Wasouth kwenye suala la kujiamini wako mbele sana! Sisi wamatumbi bado hatujiamini kwa lolote! Tunawaabudu hawa ngozi nyeupe kama nini!! Tukiwaona wazungu na waarabu tunatetemeka kama tumeona Yesu na mtume Muhammed!!
 
Back
Top Bottom