SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Wale wababe wako wakikutana na sisi kwenye chochoro, wanaimba "honey" kwa kubana pua kama Zuchu!Na lile timu la jana bovu vile mlikutana na waoka mikate waliojichokea
Jumapili zamu yako. Mtauanza msimu kwa masimango sana!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]