permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mechi moja inatosha, ni ujinga ngao ya jamii kuchezwa kama ligi ndogo.Jamani cc wenye vibanda umiza ndio tunapopata maokoto yetu huko mechi zikiwa nyingi hasa za simba au yanga ikicheza....
Sasa mnataka mechi moja tu ili iweje[emoji35]
Si umeona eeSasa unapotoa ahadi usiweke masharti. Sema utatoa hela, sio nikuombe hela, maana kuomba unaweza kukataa au kukubali
Na matokeo yake yakapinduliwa😂😂Mkuu huko si ndo mmepindua Rais?
[emoji28]Ngushi kapiga cha Arusha, anaona mabonde tu
Fei : 🤦🏿♂️ kwanini nimehama timu ya makombe sijui mwaka huu wataenda Tena fainali ya caf !View attachment 2712974
Umegundua nini kwenye hii picha? 😅😅
Tuzungumze keshoUran tunaweza kuzungumza sasa
mara paap!! tunakosa hadi ushindi wa tatu.Aisee nitafarijika sana wakifungwa, ili wakutane tena na wababe wao Azam kwenye kutafuta mshindi wa tatu.
View attachment 2712974
Umegundua nini kwenye hii picha? [emoji28][emoji28]
Max na yaoyao ni watu na nusu
Tuzungumze kesho
Kiko wapiMsisahau leo Sopu ana goli lake moja
Fei Toto goli moja
Dube goli moja
Nabii feki Wewe.Msisahau leo Sopu ana goli lake moja
Fei Toto goli moja
Dube goli moja
mbona zouzoua hachezi jamani?
nmeuliza tu kwania njemaSisi tunamuachie kocha afanye kaz yake sisi sio simba kumlilia kocha kwann hamapangi mtu fulani ss tushatoka huko
Na imekua hivi.Hongera sana Yanga.Mwanzo mzuri.Yanga 2,Azam 0.Kila la heri Yanga.
nmeuliza tu kwania njema
mana wana wanasema jamaa mkali sana, kwasisi tunaosubiria kumuona jangwani akifanya maajabu ndo tunashauku sana..
pia wengine wanasema ana zuio la kucheza sijui CAF