Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Utopolo halisi, pira kigamboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ile tulioiona kwenye bonanza la simba day? Labda kama ipo nyingine.Naitazama hii mechi. Azam kachoka Yanga kachoka. Simba juhudi zenu tu mwaka huu
huyu kocha wa yanga mpya ananipa wasi wasi sana. what is this kind of football
Hivi kwanini huwa mnajitia loki za kifikra?Kwenye soko pia umo?
Ndo kwanza mechi ya kwanza ya ushindani. Ebu tulia.huyu kocha wa yanga mpya ananipa wasi wasi sana. what is this kind of football
Duuh umetumia silaha kubwa sana mkuuHivi kwanini huwa mwnjitia loki za kfikra?
Kama mama'ko haelewi kuhusu soka usifikiri ndiyo wote.
Dah!! Mama yake tena??Hivi kwanini huwa mwnjitia loki za kfikra?
Kama mama'ko haelewi kuhusu soka usifikiri ndiyo wote.
Alikuwa anacheza kila namba humo uwanjani?Mayele alikuwa ana wafichia sana aibu hawa mbuzi
Mayele alikuwa ana wafichia sana aibu hawa mbuzi