FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

so far nilicho ona. hapa hatuna kocha yanga, the poorest yanga in 2 years. huyu atuache tu.

hizi pasi fupi fupi since when 🚮🚮🚮
Hivi mnaangaliaje mpira aisee? For the sake of kupoteza muda au?

Mbona ulichoandika hakijakaa kitaalam, zaidi zaidi umeandika kwa kuhamanika. Kocha mpya, hii ndio kwanza mechi yake ya pili, wachezaji wengine wapya, still unataka timu icheze kama wanafahamiana miaka na miaka.

Hebu relax mkuu, angalia mpira kwa jicho la umakini
 
Msauzi afrika Scudu kaona mambo magumu akaona ngoja ajivunje mapema akale bata nje.

Wachezaji hawa wa madina ndio zao, kacheza kidogo kajivunja kampidha Ngushi, hii ngoma nawapa asilimia kubwa azam kushinda, labda washindwe wao t
 
Sidhani kama atamaliza mwezi😊😊😊nakubaliana nawe. Farid Musa and Ngushi over Aziz Ki ni disgrace of the highest order!
Wachezaji hawapangwi kwa majina mkuu, ni kutokana na Kocha anavyoona kwenye uwanja wa mazoezi.
 
Kuumia Kwa skhudu kumeharibu plan ya kipindi cha Kwanza Ila naamini kipindi cha pili Azam atapoteana hapo anaingia Sureboy na ki Aziz biashara inakua imeisha
[emoji169][emoji172]
 
Ngushi ndyo mrithi wa mayele
Nahamia simba jaman [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Yanga, Simba, Azam sijaona kocha humo. Ni vipaji vya wachezaji tu. Kama Azam ndo mdebwedo kabisa.
 
Back
Top Bottom