Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Abhana bha ntwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngushi ndyo mrithi wa mayele
Nahamia simba jaman [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abhana bha ntwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngushi ndyo mrithi wa mayele
Nahamia simba jaman [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bado amepata kadi ya mwalikoFeitoto bado hajapata bao?
Nope this is poor play. tumeludi nyuma sana. we are not going to caf with such play. hapa amna kituHivi mnaangaliaje mpira aisee? For the sake of kupoteza muda au?
Mbona ulichoandika hakijakaa kitaalam, zaidi zaidi umeandika kwa kuhamanika. Kocha mpya, hii ndio kwanza mechi yake ya pili, wachezaji wengine wapya, still unataka timu icheze kama wanafahamiana miaka na miaka.
Hebu relax mkuu, angalia mpira kwa jicho la umakini
Safari hii [emoji196] maji wataita mma, watajua kuwa hawajui.Hawa kwa Onana na Baleke wajipange
Wanaomlaumu Kocha wa Simba kumuweka nje Phiri, sababu zao sio za kimpira pia. Ndio maana sijawahi kuwasupportBasi kama ni hivyo hata kocha wa Simba asilaumiwe kwa Phiri
Mbona mapema sheikh... Lakini hata mi naanza kupata mashaka nae kama tutatoboa [emoji3061]so far nilicho ona so far, hapa hatuna kocha yanga, the poorest yanga in 2 years. huyu atuache tu.
hizi pasi fupi fupi since when [emoji706][emoji706][emoji706]
Kila kitu ni hatua mkuuNope this is poor play. tumeludi nyuma sana. we are not going to caf with such play. hapa amna kitu
Ficha upumbavu wako, unajaza matakataka tu kujaza server bure pimbi wahed.Msauzi afrika Scudu kaona mambo magumu akaona ngoja ajivunje mapema akale bata nje.
Wachezaji hawa wa madina ndio zao, kacheza kidogo kajivunja kampidha Ngushi, hii ngoma nawapa asilimia kubwa azam kushinda, labda washindwe wao t
Ndo hivo watabana Ila zikiwapanda watapanuaYanga anashinda hii game kirahis sana .
Azam sio level ya yanga Mpira uko waz kabisa
Mikia ndio zenu hata Nabi mlimbeza hivi hiviso far nilicho ona so far, hapa hatuna kocha yanga, the poorest yanga in 2 years. huyu atuache tu.
hizi pasi fupi fupi since when 🚮🚮🚮
Wachezaji hawapangwi kwa majina mkuu, ni kutokana na Kocha anavyoona kwenye uwanja wa mazoezi.
Unaweza kuwa na elimu na isikusaidieKila nikijatibu kusoma sielewi umeandika Nini, najaribu kusoma sielewi unamaanisha Nini. Elimu, Elimu, Elimu