FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Hivi mnaangaliaje mpira aisee? For the sake of kupoteza muda au?

Mbona ulichoandika hakijakaa kitaalam, zaidi zaidi umeandika kwa kuhamanika. Kocha mpya, hii ndio kwanza mechi yake ya pili, wachezaji wengine wapya, still unataka timu icheze kama wanafahamiana miaka na miaka.

Hebu relax mkuu, angalia mpira kwa jicho la umakini
Nope this is poor play. tumeludi nyuma sana. we are not going to caf with such play. hapa amna kitu
 
so far nilicho ona so far, hapa hatuna kocha yanga, the poorest yanga in 2 years. huyu atuache tu.

hizi pasi fupi fupi since when [emoji706][emoji706][emoji706]
Mbona mapema sheikh... Lakini hata mi naanza kupata mashaka nae kama tutatoboa [emoji3061]
 
Msauzi afrika Scudu kaona mambo magumu akaona ngoja ajivunje mapema akale bata nje.

Wachezaji hawa wa madina ndio zao, kacheza kidogo kajivunja kampidha Ngushi, hii ngoma nawapa asilimia kubwa azam kushinda, labda washindwe wao t
Ficha upumbavu wako, unajaza matakataka tu kujaza server bure pimbi wahed.
 
Mazoezi, ok. Lakini kumbuka Kuna class. Aendelee nao hao wachezaji wake aone Kama hata September anafika
Wachezaji hawapangwi kwa majina mkuu, ni kutokana na Kocha anavyoona kwenye uwanja wa mazoezi.
 
Kila nikijatibu kusoma sielewi umeandika Nini, najaribu kusoma sielewi unamaanisha Nini. Elimu, Elimu, Elimu
Unaweza kuwa na elimu na isikusaidie
Kama wewe unayo basi haina msaada kwako
 
Yanga wanakosa mshambuliaji. Wanacheza vizuri.
 
Uto mcheze ndondo Cup[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom