SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Ilibidi tulie?Yanga mnashangilia utafikiri mmeifunga Simba kumbe walamba koni
Azam hamna timu humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilibidi tulie?Yanga mnashangilia utafikiri mmeifunga Simba kumbe walamba koni
Azam hamna timu humo
Mtaniiii!! Usiteseke sana🤣🤣🤣Azam ni wasengerema sana
Yao ni bonge la mchez
Kumbuka alichokufanya kule Mtwara msimu uliopitaYanga mnashangilia utafikiri mmeifunga Simba kumbe walamba koni
Azam hamna timu humo
Hii mikwara umeianza mapema sana mkuu, ngoja kidogo...😂😂😂Naionea huruma timu itayokwenda kukutana na Mnyama
🤣🤣🤣Wamefungwa hadi na Mzinze😃
Safari hii usajili si kafanya yeye mwenyewe Yusuf..! Hii timu bado haijawa ya ushindani ni mbwembwe tu za usajili.Azam kuna madalali ndio maana hizi sajili zao sizi elewi.
Yaani hii leo ni total dominance.
Sawa na CCM na andazi unaruka na andazi 😁😁😁Azam na fegi? Naenda na fegi.
Wasamehe mkuuzile mbuzi ziko wapi? njooni tena mbuzi weusi nyie.
Sasa itakaa sawa kwa hizi siku mbili?Acha hiyo hofu Yanga haijakaa sawa
Hivi Fei Toto alikuepo uwanjani leo?Azam bado wanateswa na small team mentality, hata wamsajili messi bado watabaki hawa hawa
Bila ata kujiuliza fegi gani.Azam na fegi? Naenda na fegi.
alipokuwepo alifanya kipi cha maana?Kutoka kwa SOPU mbele hakuna kitu..
This is Yanga bhana! 💛💚💪