FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Unaenda fainali kwa papatu papatu unategemea kubeba kombe na Mpanzu, nyie mna akili kweli?

Mpira mnauona lakini? Jamaa wanateleza kama kambale [emoji1787][emoji1787][emoji1487]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]walivoona tumeshinda ugenini kwenye Ile fainali wakadhani ni rahisi kama kucheza na Pamba nyepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…