FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Berkane 2 more to go Kisha tu relax tuje kumaliza kazi Zanzibar
 
Tukiwa makini DAKIKA 20 za kwanza tusifungwe yanarudi. Hapo ni 2/2 au 2/1
 
Reactions: Tsh
UCHAMBUZI WA 1ST HALF
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Dakika 20 za mwanzo ambazo simba ilibidi ipate Magori takribani 1 badala yake Berkane ndo wamepata hapo ndo tatizo lilipoanziaa[emoji120]

KIPINDI CHA PILI .....SIMBA HAWAELEWI ...WAJILIPUE.....AU WALINDE[emoji23][emoji23]


[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mtoto anafundishwa boliiiiii ..🕺🕺🕺🕺🧡💪💪💪
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Mnaleta ustaa kwenye nchi ya watu wenye uchu wa kubeba makombe!!

Ni plan gan kocha anaitumia?

Berkane ni timu kubwa na inamakombe hayo,sasa upo ugenin then unajifanya upo home!??

Mnafunguuka then mchezaji akiwa na mpira anapata kitete anajikuta uwanja mzima yuko peke yake tu hadi anapokonywa mpira watu wanafunga.

Kumbukeni 2nd leg mtacheza Amani Stadium ambako stellenbosch mliwafunga moja kwa taaaabu sana.

N.B. Endeleeni kuruhusu magoli zaidi hata medali hamtapewa.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…