FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Mimi mwenyewe nimenyanyua mikono juu, hata kama tungekuwa sisi Yanga huu mziki sio wa kawaida wewe unasemaje?

Berkane wanacheza mpira wa kiwango cha juu mno, Simba wanaweza kukosa goli hata moja mechi zote 2 za fainali.

Nimesema Simba ni basi tu sikio la kufa.
Hakuna team hapo ,mpira unaochezwa hapo ni wa kawaida mno.
Walevi wanasukumana hapo
 
Hadhi inawezekana Azizi Ki akawa juu kuliko wachezaji wa Simba.

Kwasababu hadhi ina define mambo mengi.

Huwenda Azizi Ki kumuoa star wa bongo movie kunafanya hadhi yake iwe juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…