Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Wanajua kufanya penetration na wana mpira wa kasi. Simba kazi tunayo lakini amini tutatoboaSawa kaka ila nilichomaanisha mimi ni kuwa bado mna kazi kubwa pale nyuma.
Wale jamaa wanajua kufanya penetration aisee.
Kwa form waliyonayo hawa Berkane,ingekuwa Yanga,Yanga angekandwa kama zile za MafisangoWabishi wa kukandwa na wamekandwa leo kuna watu wamejificha siwaoni kabisa
Haikuwa mpango kazi wa kochaMgezifunga leo au hata moja la offside.
Huwezi fananisha Al Masry na Berkane mpaka sasa katika mashindano haya hata ile mechi ya kwanza haikuonekana na utishio mkubwa uchezaji Al Masry haukuwa wa kitisho kikubwaHata kwa Al Masry hatukufunga Misri siku ile
Sasa si ndio maana haijecheza Yanga imecheza Simba na imechezea 2 sifuriKwa form waliyonayo hawa Berkane,ingekuwa Yanga,Yanga angekandwa kama zile za Mafisango
Wewe ni msemaji wake ?Haikuwa mpango kazi wa kocha
Hata mechi ya pili Berkane atakuwa na odds ndogo huku Simba akiwa na odds kubwa na ni mtu mjinga pekee atafikiri matokeo kinyume.Odds zina panda na kushuka ndio maana baada ya wao kubahatisha goli 2 odds za magoli 2.5 over ilikuwa ni 1.04
Lakini kipindi cha pili kilipoanza mpaka dakika ya 70 odds zikapanda hadi 1.80 kuashiria mazingira ya hilo goli moja kupatikana ni magumu.
Kwa hiyo usipagawishwe sana na odds, we subiria second leg uone odds zitakuwa ngapi kwa RS Berkane.
Bingwa Hana hata short on target moja!!!Tulia wewe Simba ndio bingwa mpya wa CAFCC hutaki meza mwiba
Na wakija watahakikisha wanapata bao walau moja wapate advantage ya bao la ugenini.Jamaa wanapoga boli aisee, tofauti kabisa na wapaki basi wa south au wale wapaki basi wa kiarabu simba iliyojioigia.
Zile timu hata ugenini, simba alipoga mpira mwingi mno. Ila hawa machalii wanacheza kwa akili kinoma.
Tusubiri tar 25 Zenji, tuone itakuaje ila kumchapa 3 kavu huyu Mmoroco ni uongo.
Itakuwa vizuri mabeki wakijipanga vyema na kuacha utoto wao lango litakuwa salama.Tutajitahidi haturaruhusu goli
Ndiko mmeo anakulazimishaga uchekee huko baads ya kupanua na dhakari lake😂😂.Ukijibana kicheko kitatokea kwenye jicho la chini
Wameshinda 2-0RS Barkane Kwani hawana malengo?
Lile goli moja ni uzembe wa kipa amerudishiwa mpira back pass halafu yeye anaurudisha tena kati. Badala ya kushoot mbele kabisa au kumpa beki wa pembeni. Ametucost sanaItakuwa vizuri mabeki wakijipanga vyema na kuacha utoto wao lango litakuwa salama.
Ni wapi nimesema najua mpira mkuu!? Peleka presha na hasira kwa kina HamzaHujui mpira
Ndiyo Mpira ulivyo. Real Madrid walitangulia 2 lakini game ikaisha 3-4. Mpira siyo ramli.Wameshinda 2-0