FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Hamza alichemka jana:
Nilisha wahi kusema Beki za Simba zinapenda sana kurudisha mipira nyuma:
Magoli yote yalitokana na kuchezea mipira nyuma:
Goli la kwanza mtu akanasa ikiwa kona goli:
Goli la pili hivohivo mtu akanasa pasi ya kwanza ya pili goli:

Hata hivyo Simba walijitahidi wangepigwa nyingi sana:

Mechi inayofuata Che Mallone aanze Hamza aendelee kujifua kupata pumzi:
 
Ukumbuke Refa katubeba penalty halali zaidi ya moja
 
Diarra huyu huyu aliyefungwa 3 na Tabora..au mwingine
 
كن حذرا مع أي خدمة سوف يقدمونها لك.
kun hadhiran mae 'ayi khidmat sawf yuqadimunaha lika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…