Diaz yule dogo ni kiazi tuu, Huwez kuleta mbwembwe kwenye fainali tena dkk za maji ya shingoHata ile ya kutishia kususa mechi ilikua mind game, na mbinu yao imefanya kazi. Mchezaji yoyote wa moroco angepewa ile penati lazima kuna kauhuruma kangemjia
Ndio, penalti ilikuwa halali na hata goli la Sarr nalo pia ilikuwa n goli halali, ile ilikuwa na soft foul hvy asingetakiwa kulikataa lile goli.Ile ilikua penati halali kabisa. Labda tuseme refa angetumia busara maana ilikua penati soft sana harafu muda mbaya ukicheki game yenyewe fainali
Sijapenda kabisaSenegali imeshinda
Africa yote tunayo furaha🔥🔥🔥
Dunia nzima tumefurahi
Ona huyu
Waarabu weusi wa Tandahimba leo mmechukia maana mabasha wenu wamekosa kombe.Tuwekeeni video za vibanda umiza tuone watu wanavyoshangilia ushindi Senegal
Kwani Penanka huwa inapigwa vipi?Bado siamini kama Diaz alipiga penati kweli
Naona umefurahi kuona Waislamu wa Senegal wakibeba kombe
Goli halikua halali yule jamaa aliepiga kichwa kikagonga mwamba kabla ya kupiga kile kichwa alimsukuma mwenzakeNdio, penalti ilikuwa halali na hata goli la Sarr nalo pia ilikuwa n goli halali, ile ilikuwa na soft foul hvy asingetakiwa kulikataa lile goli.
Kwa ujumla angetakiwa kubalance mechi kwa kuachana na ile penalti ila yeye ndo akafanya mambo kuwa mengi zaidi
Alizingua sana, unajua mtu hata kama ukikosa angalao ionekane ulikua siriazDiaz yule dogo ni kiazi tuu, Huwez kuleta mbwembwe kwenye fainali tena dkk za maji ya shingo
Penalty ya maridhiano hioBado siamini kama Diaz alipiga penati kweli
Wewe ***** utakuwa unasuguliwa mida hiiWaarabu weusi wa Tandahimba leo mmechukia maana mabasha wenu wamekosa kombe.
Hakupunguza spidi ya mguu alipoukaribia mpira ambapo Angeona 75% ya joint za Mendy zikiwa hazina nafasi ya kurudi kucheza mpira Mana 25% kamwe haiwezi nyanyua 75%..Kwani Penanka huwa inapigwa vipi?
Hivi alifanya maksudi au? Maana ana balaa yuleDiaz amekosa penati kusawazisha mambo,si kwa kupiga kivile.
Nzuri sana. Habari yako Kiroboto.Chawa habari yako