Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tayari umepata kichaka cha kwanzaHamza kama hayupo pengo lake lazima liwepo. Dogo mtulivu halafu ana pasi nzuri kwa viuongo, wingers na hata strikers.
Atakayem replace, hana hizo qualities zote lakini bado sioni wakipoteza kwa Yanga.
Mganga wenu Kataushanga atawapozeni Makolo.Hii mechi droo uwezekano wa yanga kushinda ni mdogo sana
Ume conclude hivyo baada ya kusoma jibu langu lote?Tayari umepata kichaka cha kwanza
Nipo hapa taifa na mvua inayopiga si mchezoMvua inapiga wapi mkuu, kigamboni darajani ambapo ni mita chache na uwanja ulipo kuna wingu tu.
Msimu huu matokeo ya Simba:Hii mechi droo uwezekano wa yanga kushinda ni mdogo sana
Nipo hapa taifaHakuna mvua kabisa huku uwanjani ni kukavu wewe upo wapi Msanga?
Msimu huu matokeo ya Simba:
4-0
3-0
2-0
1-0
2-2
Leo anafungwa 2-0, nipo palee nimekaa.
Mkuu unaweza nisaidia msaada nipate kuangalia hii mechi Kwa Azam max maana nipo nje na nchiNaaam kaka ndio ndio
chaneli za kiarabu hawaonyeshi tulio nje ya bongo tuoneKariakoo Derby!
Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?
Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12.
Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya dhidi ya Simba na hii ni kutokana na Quality ya kikosi cha Yanga lakini haiondoi uhalisia kwamba Simba nao wana kikosi kizuri hasa msimu huu ambao wametamba Kusajili vizuri.
Mechi ni Saa 11:00 Jioni katika dimba la Benjamin Mkapa
Live kupitia Azam Sports 1HD, TBC Taifa kwa idhaa ya Radio.
Soma Pia: Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko
View attachment 3129788
Ile siku alopigwa mtu 5 mvua ilinyesha pia.Mvua ishatupatia matokeo...
Mkuu nina risiti ya ban yako😅Tayari umepata kichaka cha kwanza
Yanga wameogopa kutoa Kikosi?Kariakoo Derby!