Nilisema huyo jamaa ni mbaya denooJ akaona ni chai nawatisha sasa katupia na bado kuna mnyama jina lake la ziada anaitwa Abuu Bardizibah (Baba yake na Bardizibah ) hajasafiri na timu kaona hii kwake ni mechi ndogo na nyepesi yeye kucheza atawasubiri Morroco.