FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023
Basi kigoli kimoja Cha kuvizia mmefunga vibonde Vipers

1678249053385.png


1678249342966.png
 
Hapo juu watu wameuliza, Simba atamfunga nani?

Nawajibu, atamfunga Horoya, Vipers mara 2 na droo kwa Raja hukohuko kwao.

Wala haitakuwa maajabu ya dunia.

Mchezo na Raja pia ni makosa na yanarekebisheka vizuri tu.

Ni kweli kiuwezo mchezaji mmojammoja Raja wapi vizuri mno.

Lakini kumbukeni Simba ilifika pia langoni mwa Raja zaidi ya mara tatu.

Tatizo la Simba kama ilivyokuwa kwa hata ligi ya ndani ni kusubiri msitu wa walinzi.

Hata hivyo, hilo linarekebishika kwa zaidi ya asilimia 75 na kwa wachezaji hawahawa mnao waponda.

Enyi wachezaji kama mnasoma hii habari ifanyieni kazi. Ushindi upo.
Watu waliniuliza kwa wachezaji gani Simba itazifunga Vipers na Horoya. Majibu wanayo. Tukabishane robo fainali.

This is Simba.
 
Back
Top Bottom