Simba huwa tukikutana na timu kubwa kwa mala ya kwanza huwa tunafungwa kizembe sana.
Ref, Kaizer Chief, AS Vita, Al-Ahlly zile 5, 5 na 4, 4.
Tu nashindwa kabisa kuwasona wapinzani wetu. Bechi la ufundi linafeli vibaya sana.
Mechi ngumu zijazo napendekeza kikosi kuanza hiki hapa.
1. Manula
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Kennedi
5. Onyango
6. Inonga
7. Phili
8. Kannute
9. Beleke
10. Chama
11. Okra.
Wengine waanzie Sub.
Nimeweka mabeki wote ili kuimariasha ukuta.
Inonga abaki namba 6 ili timu ikishambulia anapanda, ikishambuliwa anarudi kukaba.