CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Vipers wao wakiwa wamefungwa miguu au sioTukifingwa leo maana yake
Tumfumge Vipers nje ndani na horoya
Hapo tuombee horoya afungwe na Raja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipers wao wakiwa wamefungwa miguu au sioTukifingwa leo maana yake
Tumfumge Vipers nje ndani na horoya
Hapo tuombee horoya afungwe na Raja
Mkuu umelipa buku 3??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaona Mkude na Kibu wanapasha muda huu uwanjani wakati timu zipo kwenye vyumba vya kubadilishia nguoView attachment 2521937View attachment 2521937
Bado hamkubali kuwa mna timu mbovu msimu huu?Hapo juu watu wameuliza, Simba atamfunga nani?
Nawajibu, atamfunga Horoya, Vipers mara 2 na droo kwa Raja hukohuko kwao.
Wala haitakuwa maajabu ya dunia.
Mchezo na Raja pia ni makosa na yanarekebisheka vizuri tu.
Ni kweli kiuwezo mchezaji mmojammoja Raja wapi vizuri mno.
Lakini kumbukeni Simba ilifika pia langoni mwa Raja zaidi ya mara tatu.
Tatizo la Simba kama ilivyokuwa kwa hata ligi ya ndani ni kusubiri msitu wa walinzi.
Hata hivyo, hilo linarekebishika kwa zaidi ya asilimia 75 na kwa wachezaji hawahawa mnao waponda.
Enyi wachezaji kama mnasoma hii habari ifanyieni kazi. Ushindi upo.
Mnapenda kujipa moyo.
Yap, kuna tatizo?Mkuu umelipa buku 3??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah ila mashabiki wa Simba sijui mna nini aisee!Yap, kuna tatizo?
Huyu jamaa hua anajiona genius kinoma [emoji706][emoji706]Daah ila mashabiki wa Simba sijui mna nini aisee!View attachment 2526022
What's up with you lame? Why are you always up of my shit?Huyu jamaa hua anajiona genius kinoma [emoji706][emoji706]
Tuna nini, nini?Daah ila mashabiki wa Simba sijui mna nini aisee!View attachment 2526022
Your shit kaa nazo! uchambuzi uchwara uacheWhat's up with you lame? Why are you always up of my shit?
Kwanini uhangaike nao kama ni uchwara?Your shit kaa nazo! uchambuzi uchwara uache
Iheshimu football game ya jana ulianza maneno yako kabla ya mechi sijui hua hamkomiKwanini uhangaike nao kama ni uchwara?
We jamaa ulikuwa unatoa tahadhari mapema sana kwa mashabiki wa SimbaJamaa anyepasha alikataa Ofa ya Bayern Munich kisa uzalendo ,hii ndio mida yake naona anaingia ni Super sub mzuri sana huyo Benguit tokea akiwa under 17 Chan na kikosi cha Morroco..
Mheshimiwa mbona leo umechelewa kuanzisha thread live kutoka kwa Idd Amini sijakuzoea hivyoKwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Ndio, ni Simba Sports Club wakiwaalika Raja Casablanca pale dimba la Benjamin Mkapa, katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa.
Simba watashuka dimbani wakiwa na lengo moja tu la kutafuta alama 3 mara baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Habari njema ni kuwa Saido Ntibazonkiza atakuwepo kikosini ila pengo kubwa ni kukosekana kwa Sadio Kanoute "Putin" kutokana na kadi.
Raja Casablanca nao wataingia kwa tahadhari katika mchezo huu, japo wanaongoza kundi lao mara baada ya kuivurumisha Vipers goli 5 kwa nunge katika mchezo wao wa kwanza!
Mchezo huu utakuwa majira ya saa 1:00 usiku wa leo, na utakuwa mubashara kupitia ZBC2 ya AzamTv na Chaneli 229 ya DStv.
Kila la heri kwa Mnyama, naamini kauli mbiu ya " Kwa Mkapa hatoki Mtu" itaendelea kufanya kazi...
Utabiri:
Simba 2-0 Raja Casablanca
Mchezo umeanza
2’ Bado mchezo haujatulia kwa timu zote
4’ Simba wanafanya shambulizi kupitia kwa Kapombe lakini Raja wanaokoa
5’ Raja wanapata kona mbili, zinapigwa zinaokolewa
6’ Timu zinacheza kwa presha na mpira haujawa na utulivu
10' Simba wanapata kona, lakini haina madhara
16' Krosi ya Kapombe inatua mikononi mwa kipa wa Raja
19' Simba wanapata faulo
20' Sakho anakosa utulivu licha ya kupata nafasi nzuri
26' Wanajaribu kupoozesha kasi ya mchezo
30’ Goooooooooooooo
Hamza Khabba anaipatia Raja goli la kwanza kwa shuti la nje ya 18
35' Kasi ya mchezo umeoungua na Raja wanaonekana kuutuliza mpira
42' Simba wanapata faulo karibu la lango la Raja, inapigwa mpira unadakwa na kipa
45' Simba wanapata kona mbili mfululizi hawazitumii vizuri
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kinaanza Simba wanamtoa Sawadogo, anaingia Jonas Mkude
50’ Simba wanaanza kujipanga kwa kumiliki mpira muda mwingi
52' Simba wanaongeza presha kwa wapinzani
58’ Mabadiliko kwa Simba, anatoka Bocco anaingia Jean Baleke
59’ Raja wanapata nafasi ya wazi wanashindwa kuitumia vizuri
61’ Shambulizi kali langoni kwa Raja, inakuwa kona
65’ Purukushana inatokea, wachezaji wanavutana mchezo unasimama kwa dakika moja
66’ Mchezo unaendelea
75' Raja wanarejea mchezo na kuwapa presha Simba
82' Goooooooooooooooooooooooo
Simba wanaruhusu goli la pili kupitia kwa Soufiane Benjdida
84' Penatiiii Raja Casablanca wanapata penati
85' GOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ismael Mokadem anafunga kwa njia ya penati
89' Simba wameshakata tamaa, wachezaji wamepunguza kasi
90' Zinaongezwa dakika 5
FULL TIME
View attachment 2522035
View attachment 2522036
Haya tumekuja, mbwa wewe! Mkia wa nyokweNiliongea Simba itashika mkia kundi lao matusi kama yote! Waje Sasa wakanushe utabiri wangu!
Garbage in garbage out!!
Haya tumekuja, mbwa wewe! Mkia wa nyokwe
![]()
Mimi nazungumzia hii kauli yako mbwa wewe. Hata kama Simba hataenda robo fainali ila kauli yako haitatimia, mbwa wewee mlugaluga, umekuja na treni na shangazi kaja lako, unalala vibarazani halafu unajiita mtabiri. Mbwaligi Bado mbichi acha Kutukana mamba hamjavuka mto.
Niliongea Simba itashika mkia kundi lao matusi kama yote! Waje Sasa wakanushe utabiri wangu!
Mimi nazungumzia hii kauli yako mbwa wewe. Hata kama Simba hataenda robo fainali ila kauli yako haitatimia, mbwa wewee mlugaluga, umekuja na treni na shangazi kaja lako, unalala vibarazani halafu unajiita mtabiri. Mbwa