Ishinde mechi zipi hizo?
 
Wairudishe timu Kwa Mgunda
 
Atashinda dhidi ya nani hizo mechi 3, na kutoa sare 1? Kimahesabu simba inakamilisha tu ratiba. Uwezekano wa kuingia robo fainali, haupo.
 
Hizi mechi akashindie wapi, mmebaki na game mbili za nyumbani,, [emoji23][emoji23] kwish habari yenu

Kituo kinacho fatwa niiiiliiiiii......

Kwa mkwapa atoki ntu[emoji23]
 
Haiwezekani timu inajukumu la kucheza, watu wanaanza toa ahadi za kuwalipa pesa

Wachezaji wanatakiwa waelewe kazi yao ni kucheza na kushinda mechi

Mambo ya bonus yawekwe kutokana na hatua fulani

Simba inatoa Bonus ya 800,000,000 kwa msimu

Hizi Bonus zatakiwa zigawanywe kwa mafanikioa na sio mechi

Kombe la FA 100mil

Ligi Kuu 200mil

Kuingia Makundi 100mil

Robo Fainal 200mil

Nusu 300Mil

Fainal 500mil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…