FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Nilikuwa naumia sana mtani akifungwa na team yoyote ya nje, nilikuwa natanguliza 'u-Bongo' wetu kwanza,
Ila baada ya dhihaka waliyofanya Jana na Leo dhidi yetu..!!

'team bora na ishinde'..!!
Ahsante..
 
Nilikuwa naumia sana mtani akifungwa na team yoyote ya nje, nilikuwa natanguliza 'u-Bongo' wetu kwanza,
Ila baada ya dhihaka waliyofanya Jana na Leo dhidi yetu..!!

'team bora na ishinde'..!!
Ahsante..
Darling, si ni wewe juzi tu ulisema unawaombea waliokukosea? Hili umeshindwa kabisa kudeal nalo?

Jana nimeumia kwa mengi, nilitukanwa mpaka kuvunjiwa heshima mwenzio lakini nimechagua amani.
 
Onana akijikaza ni mzuri akiwa bishoo ni shida.
 
Darling, si ni wewe juzi tu ulisema unawaombea waliokukosea? Hili umeshindwa kabisa kudeal nalo?

Jana nimeumia kwa mengi, nilitukanwa mpaka kuvunjiwa heshima mwenzio lakini nimechagua amani.
Sweetheart,
Sijawaombea baya kabisa, nimemuambia tu Mungu, yule aliye bora anastahili huu ushindi..!!😂😂
 
Uwanja upo tupu bado. Naona viongozi wametumiwa ujumbe fulani.
 
Simba 2 Asec Memose cheyo 0. Goli la kwanza kupatikana kipindi Cha kwanza baada ya dakika 39 na goli la pili kupatikana kipindi Cha pili kabla ya dakika 30
 
Wakuu naomba kujuzwa hii mechi Azam wanaonesha channel ganii?
 
Simba 2 Asec Memose cheyo 0. Goli la kwanza kupatikana kipindi Cha kwanza baada ya dakika 39 na goli la pili kupatikana kipindi Cha pili kabla ya dakika 30

Katie mpunga kwa mhindi chap mbna anakusubir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…