Watu na roho mbaya zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Tanesco na Watalaam wa taa na leo mtuzingue,maanake hamchelewi kuharibu.
 
Kwahiyo huyu Kiba ndio kalipwa pesa kuja kufanya hivi? Emu tujaribu kuwa serious kidgo na pesa za watu!! Bibi yangu sio msanii ila anaweza kufanya mara 5 ya alichokifanya Kiba
Alikiba sio good performer siku zote Ndio Maana mnakosa kuitwa kwenye majukwaa makubwa sio kama mwenzake mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…