FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Leo linakufa jitu!..[emoji23]
9c0beaaa-2a8f-4ba2-8dff-ae8461dd6032.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya kuwa wanacheza nyumbani ila ukijaribu kuchunguza nyuso za wanasimba wote utaona zimepooza.
Wanaonekana wamejaa huzuni na hofu kubwa.

Huku mtaani na vibanda umiza wamekuja kuangalia mpira bila kuvaa jezi zao..

Sijui hali watakayokuwa nayo baada ya dakika 90 kuisha..
Tuwaombee ndugu zetu maana yajayo yanasikitisha zaidi
Watu na roho mbaya zao
3e37bf19-5406-480c-aac6-f8248ca8488f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo huyu Kiba ndio kalipwa pesa kuja kufanya hivi? Emu tujaribu kuwa serious kidgo na pesa za watu!! Bibi yangu sio msanii ila anaweza kufanya mara 5 ya alichokifanya Kiba
Alikiba sio good performer siku zote Ndio Maana mnakosa kuitwa kwenye majukwaa makubwa sio kama mwenzake mondi
 
Back
Top Bottom