Waache waendelee kupaisha kama marubani wa jet fighters
 
Umeanza vizuri ila umemalizia hovyo hapo kwa Onyango[emoji706][emoji706][emoji706]

Mkuu Onyango Atleast alikuwa Man to Man anakamia sanaaa Haji anatuchomesha Lakini alikuwa hampi mtu nafasi. Angalia Malone na Inonga hawaelewani wanagongana wao kwa wao
 
Al Ahly hawaoni magoli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanapaisha tu Alooo chezea kuloga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…