DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Fala wewe 🤣🤣🤣 ameteleza tu si unajua nyasi mpyaNani kamchambua beki wetu mpaka ameanguka chini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fala wewe 🤣🤣🤣 ameteleza tu si unajua nyasi mpyaNani kamchambua beki wetu mpaka ameanguka chini?
Umeanza vizuri ila umemalizia hovyo hapo kwa Onyango🚮🚮🚮Mnaona Makosa Ya Beki Zetu Watabuluzwa Sanaaa Hapa Ndio Onyango Anapo Kumbukwa na Matatizo yake
Never Give Up!!Kwa mbinu hizi tutatoboa kweli?
Onyango? Asee yule kiazi kabisaMnaona Makosa Ya Beki Zetu Watabuluzwa Sanaaa Hapa Ndio Onyango Anapo Kumbukwa na Matatizo yake
Ni ngumu....Kwa mbinu hizi tutatoboa kweli?
Naona ni plan ya mwalimu tangu mwanzo, hasa ukiangalia sababu ya kumuanzisha Kibu (mwenye mbio) kule mbele.Tunacheza chini sana muda mwingi tupo kwenye half yetu
Umeanza vizuri ila umemalizia hovyo hapo kwa Onyango[emoji706][emoji706][emoji706]