SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kweli wanastahili pongezi.Simba wamejitahidi sana mpaka dk 20 jamjapigwq
kama hii faulo aliyochezewa saido angepaswa atoe kadiRefa toa Card ni mara ya tatu hii Kibu anachezewa faulo
Aloo waaarabu wawatu hawaoni magoliiUchawi wa Bongo nimeuelewa...
Na bado...πAsee hapa tumeyakanyaga
Sasa ulitaka wasimame wakati viti vyekundu vipo? πππSimba Tulikuwa Tunajisifu Kujaza Uwanja na Mashabiki Wote Wamekaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui wameenda Kufanya nini
Mabeki wanapanda sana, na kwa hizi winger za Al Ahly tutashika sana mioyo aiseeh[emoji1]Dakika 20 Hatutoboi
sisi shangilia yetu ni mpaka tupate goli. Otherwise useless kabisa.Simba Tulikuwa Tunajisifu Kujaza Uwanja na Mashabiki Wote Wamekaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui wameenda Kufanya nini