Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Pira mipango hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSimba imeliheshimisha TAIFA.
Simba imeiheshimisha Africa.
🙏
Uto punguzeni Wivu...Heshima inaletwa kwa medali na vikombe sio ushiriki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pengine tunenunua tiket tupo zetu nyumban tunaangalia kwa TV [emoji1787]Hii timu inaendeshwa kwa propaganda sana.
Wametudanganya kuwa tikeki zote zimenunuliwa lakini cha ajabu ni kuwa uwanja umeshindwa kujaa kabisaa.
Pamoja na kuyaacha mageti wazi tokea saa 5 asubuhi ili angalau kuwezesha wanasimba waingie bure ili waujaze benjamini mkapa ila hali imekuwa ngumu.
Hawa ndugu zetu hamna kitu kabisaa[emoji706]
Wachezaji wametulia sana uwanjani, sehemu pekee nilipo na wasiwasi ni kwa Zimbwe Jr tu.Simba wanacheza pira birian sana sisi tunatka magoli sio show off
Kwahiyo hili ndio pira biriyani? Aisee safar bado ndefu sana.kiufupi mpira hauleweki naona wanagusa gusa bira malengo, all in all hakuna timu hapaSimba wanacheza pira birian sana sisi tunatka magoli sio show off
DSTV K24 (275) PIADstv 299 Rwanda Tv
Unaumia ukiwa wapi 🤣🤣👏👏Kwahiyo hili ndio pira biriyani? Aisee safar bado ndefu sana.kiufupi mpira hauleweki naona wanagusa gusa bira malengo, all in all hakuna timu hapa
utaibiwa simu kibandaumizaKwahiyo hili ndio pira biriyani? Aisee safar bado ndefu sana.kiufupi mpira hauleweki naona wanagusa gusa bira malengo, all in all hakuna timu hapa