SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Huyo anajifurahisha tu.Unataka kulaumu nini wakati ulijua kabisa leo mnafungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anajifurahisha tu.Unataka kulaumu nini wakati ulijua kabisa leo mnafungwa
Mkuu kimetokea nn? [emoji1787]Yaani kama wapo msibani. [emoji3]
Hawa wataanza kama nyie kwa IhefuUnataka kulaumu nini wakati ulijua kabisa leo mnafungwa
Yani mpaka wasemeeee [emoji23]Yaani kama wapo msibani. [emoji3]
Kawasaidie wacheze kimjini MkuuSimba wanacheza kishamba sana
Sio wamewaangusha hakuna beki hapo.Mabeki wetu wametuangusha
AahaaaaaaaKiko wapi, hakuna maokoto ya offside leo
Aibu zimeanza, Leo taifa linaaibika🤣Aahh, tayari qqmke, fedheha hii.
Hii sio hoja