FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Mara chache sna Al ahly kupoteza mtoano Simba jitafakarini sana
 
Timu yangu Simba, hakuna haja ya kufunguka.
Tutapigwa nyingi.

Hakuna haja ya kufunguka kwa hii timu.

Nyuma wabaki watu watano.

Wakibaki 3 hatutoboi.

Tutachezea goli nyingi hapa.

Ndugu zangu msifunguke
 
Simba Sc ilianza kunogewa na swala la kushambulia , tumefungwa goli jepesi sana.

Ngoja tuone kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom