FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi kwanini waarabu wamefunga heading ya uzi ikabadilishwa sekunde hiyo hiyo. Ila Simba wamefunga inapita dakika kadhaa hawabadili heading?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini Uchawi upo
Mpaka msawazishe, ndiyo unatokeza uko kama kobe. Mzee wa mahesabuKibu Denga mume wa Uto
AahaaaaaYanga wanatani waseme Kibu kabahatisha ila wakikumbuka alivyowakanda wanabaki kusonyaView attachment 2787488
Goli zuri sana.Mimi ni Yanga ila nisiwe mnafiki hili goli ni zuri na limetafutwa.
Hongera mtani.
Mwambie OKW BOBAN SUNZU akaupdate takwimuTakwimu Kibu Vs Mayele
Itakuwa ni uto roho imemuuma😀Hivi kwanini waarabu wamefunga heading ya uzi ikabadilishwa sekunde hiyo hiyo. Ila Simba wamefunga inapita dakika kadhaa hawabadili heading?
SawaYanga Nawakumbusha Al Ahly Mwezi Ujao Anarudi Kwaajiri Yenu
Unakata tamaa mapema sanaHapa hata tufungwe sawa tu
Hizi ni mentality za kiUnderdog na timu ndogo.Hapa hata tufungwe sawa tu