Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masihara mkuu, yaani huo ubaya hapa?Actually kwa mechi ya ufunguzi kama hii, hata tukilala 3-2 mimi kwangu sio mbaya kabisa
Dah! Basi sawaHuwa anaamua sana matokeo ya mechi ngumu
Kwamba atarogwa.?Mbele ya kapombe HV unajipenda Kweli umuweke kapombe bench na zimbwe Jr HV unajipenda
KUmfunga magoli au kushinda mechi?Siogopi aisee hata tukifungwa now...mimi nachofurahi ni Simba kumfunga mlosema atamuogesha kwa magoli
unacheza na al ahly sio vyura wew[emoji1787]Vyura haooooooooo