FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Tigo inakutakia maadhimisho mema ya Sikukuu ya NANENANE

Tigo wishes you happy NANENANE celebrations
 
Simba mnatuumiza mashabiki wenu.
Jezi mbaya na mmeleta pic chache sana.
Halafu mlivyo wajinga mmeleta team wachovu ili mtudanganye ..

Mimi nahama hili li team bora nihamie yanga tu..
Wewe si shabiki wa simba
 
Namna gani hapa, shout out ya kinyama kwa Prof.Jay [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Mchomvu amemheshimishq Prof J mpaka chozi limenitoka. Nahisi huko aliko akiangalia TV hakika kapata nguvu anatamani hata akatue Mkapa awape hi wanasimba wenzake!
Full love [emoji173]
 
Yes kiingilio ni BUKU 5 sasa utashindwa kujaza uwanja mapema tu??? Yanga wao kiingilio kidogo ni 10000 yaan kwa kifupi tu ni kwamba kwenye mtu mmoja wa Yanga basi kwenye Simba wataingia wawili.
Sasa tamasha lenu kisha mnataka kupata pesa zilize mlizotumia kumsajili Aziz Ki ? Shauri yenu
 
Back
Top Bottom