Nini kimetokea?Ila kweli Manara anakera sababu ya ujinga wake,mtu wa hovyo ila mlichofanya leo kumeishusha hadhi yenu. Mimi naamini Manara mdogo kuliko Simba kwani Simba ni taasisi, ila mlicho kifanya leo kama viongozi wamekibariki basi viongozi hamna.
😂Jangwani yanaenda makombe na medali tu
Usinijibu maana ukweli ndio huo
Wazee wa kuanzia round ya kwanza na kutoka jasho kote kule na timu zenu zilizoshuka daraja mkafika fainali....mabingwa tupo tunawaangalia ma underdog mnavyopambana mtukute juu...Usinijibu maana ukweli ndio huo
Wenzio waliondoka mapema hapa ila wewe ukashupaza shingo kama kenge ukisubiri damu itoke masikioni ndio usepe 😂😂Hapa hapanifai, kwaherini
Wamechukua albino na kumvalisha pampas,then alichokuwa akikifanya kwenye jukwaa kwa maelekezo ya maMC ni kitu kikichoshusha utu wake.Siajajua kama na yy kweli ni mzima kiakili au anauchizi fulani.Nini kimetokea?
Mhh kumbee..nimeangalia toka mwanzo sijaona hicho kitu au na ww ulikua uwanjani mtani kumwangalia mnyama liveeeeWamechukua albino na kumvalisha pampas,then alichokuwa akikifanya kwenye jukwaa kwa maelekezo ya maMC ni kitu kikichoshusha utu wake.Siajajua kama na yy kweli ni mzima kiakili au anauchizi fulani.
Mpira ni mchezo wa wastaarab,waungwana na watu wenye heshima. Moja ya lengo la mpira ni kuwaunganisha watu na si kuwabagua wala kuwatenganisha, hichi kilicho fanyika leo,kama walizani kina mgusa Manara basi wamekosea sana kwani huu ni ubaguzi na unyanyasaji zidi ya albino kwani.
Wale ni watu na nusu...wasaidie tuu dhambi zao wazidi kuwa wepesi watupe udambwi dambwi uwanjaniAsante simba kwa ushindi
Natoka uwanjani hapa
Asante simba nimepata lishangazi uwanjani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Dhambi za onana na chemalone nabeba Mimi
Simba mmeshindikana
Mimi mwenyewe leo siku cheki game ,zote za Simba wala ya Arsenal ila kuna clip nimeiona daah ,ngojea utaiona sema sijatulia maana ndio natoka zangu mzigoni ningeipost.Mhh kumbee..nimeangalia toka mwanzo sijaona hicho kitu au na ww ulikua uwanjani mtani kumwangalia mnyama liveeee
Hivi wakuu mpira mnaokuwa mnatazama ni tofauti na tunaotazama sisiUnaangalia mpira Mkuu?
Chama ndio anatakiwa kutupisha.
Basi ni wachache wasiojielewa...ndo maana wengine hata hatujaona tuna raha zetu huku..na kwny wengi pana mengi..Mimi mwenyewe leo siku cheki game ,zote za Simba wala ya Arsenal ila kuna clip nimeiona daah ,ngojea utaiona sema sijatulia maana ndio natoka zangu mzigoni ningeipost.
Kuna thread imeandikwa nimekutag utaiona hiyo clip.Basi ni wachache wasiojielewa...ndo maana wengine hata hatujaona tuna raha zetu huku..na kwny wengi pana mengi..
Utimamu wa mwili SIMBA bado sana...Ila ukweli usemwe Simba Bado ni ya kawaida sana kwa mchezo walionesha dhidi ya nyoro nyoro power dynamo
Mkuu 2-0 umebebwa na uwenyeji?Utimamu wa mwili SIMBA bado sana...
Cjui kama wana mazoezi ya nguvu.
Nimeona Onana, Ngoma , Kibu, micquson wakipushiwa tu wanahama njia...
Fanyieni kazi haraka kama lakini mna mawazo ya SUPER LEAGUE..
TULITEGEMEA MPIRA wa kasi, pasi za haraka haraka wakifungua vyumba ...Badala take angalau nimeona hilo kwa Dynamo..
Wenyeji umetubeba...
Cjui labda tusubiri