FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Mbona mapema sana kufanya conclusion ya namna hiyo mkuu,, kwani si ndio kwanza burudani imeanza au ulitaka uone nn
Saa 8 hii mkuu, burudani ni tangu saa 5.
Meja kunta kaja kuimba upuuzi hapo, umemuona??

Jukwaa la hovyo kabisa.
 
Kama shoo zenyewe ndo kama za kina Meja Kunta tusubiri tu burudani saa 12 jioni
 
CRDB wanapata Holi La Utangulizk Dakika ya 27 Kipindi Cha Pili
 
Saa 8 hii mkuu, burudani ni tangu saa 5.
Meja kunta kaja kuimba upuuzi hapo, umemuona??

Jukwaa la hovyo kabisa.
Wasanii wetu hawajui vitu vya kuimba kwenye shughuli muhimu na kubwa kama hizi...maneno gani yale alikuwa anaimba halafu mbele ya watoto wa shule anawechezesha hizo nyimbo.
Wakati mwingine tuwaambie wasanii wetu.
Usije kushangaa akaimba hivyo hata mbele ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…