FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Mbona mapema sana kufanya conclusion ya namna hiyo mkuu,, kwani si ndio kwanza burudani imeanza au ulitaka uone nn
Saa 8 hii mkuu, burudani ni tangu saa 5.
Meja kunta kaja kuimba upuuzi hapo, umemuona??

Jukwaa la hovyo kabisa.
 
Kama shoo zenyewe ndo kama za kina Meja Kunta tusubiri tu burudani saa 12 jioni
 
Nyomi la kufa mtuView attachment 2709980

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hiyo picha ni ya jana wakati wa maandalizi ya mkesha

Hapa ni second Half ikiwa ni dakika mbili tu tangu mchezo uanze
PXL_20230806_113148506.jpg
 
Saa 8 hii mkuu, burudani ni tangu saa 5.
Meja kunta kaja kuimba upuuzi hapo, umemuona??

Jukwaa la hovyo kabisa.
Wasanii wetu hawajui vitu vya kuimba kwenye shughuli muhimu na kubwa kama hizi...maneno gani yale alikuwa anaimba halafu mbele ya watoto wa shule anawechezesha hizo nyimbo.
Wakati mwingine tuwaambie wasanii wetu.
Usije kushangaa akaimba hivyo hata mbele ya Rais.
 
Back
Top Bottom