Ulikuwa unasema?Umenisema Azam niliporudishiwa walipoingia kina Ajibu
Simba wakawaida
Acha tuongoze ligi
I'm here to stay
Mbona naendelea kama kawaida, We Punguani utazuia..!? Ungekuwa na akili timamu usingesema vile kwasababu huwa inatokea mara chache sana (typing Error), kwani hujiulizi kuwa mbona sehemu zote zipo sawa.Achana na Mimi we taahira Endelea kutangaza mpira
Umekimbia ukapitiliza kwako mkuu. Sioni kama ni busara kumtusi mwenzioTukupe wewe hii timu ufundishe? Acha lawama bwabwa we unachingia chochote kwenye timu?
Kwa aina ya wachezaji wa Simba hata ulete Carlo Ancelot atadundaBila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.
Wametubeba leo hao wakina kyombo hovyo sanaBila kuuza mauchafu Sakho,kanoute,mzamiru kila game kwenu ni final
Kama juzi Utopolo dhaifuuu (lowest ranked kwenye ligi ya losers) ilivyojipenyeza kwenye makundi ya shirikisho.Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
Waulize de agosto, walipigwaje zile 3 pale kwao kama inauma chomoaHivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
Uefa ya kuchonga labdachelsea atabeba uefa na mamkombe mengine mengi.
Unateseka mzee wa makundi ya whatsapp?Wekundu wa MgundaView attachment 2414817
Si bure ... mihogo ina athiri sanaBaada ya ushindi wa leo, kinachofuatia sasa ni kipindi kigumu cha sare na kufungwa.
Yanga hamna maajabu ndio maana mmeishia makundi ya division 2Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
Ww mbona umen'gang'ana na Sakho?.kile kiatu cha goli bora kinakuuma eeBila kuuza mauchafu Sakho,kanoute,mzamiru kila game kwenu ni final