FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
 
Bila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.
 
Umenisema Azam niliporudishiwa walipoingia kina Ajibu

Simba wakawaida

Acha tuongoze ligi
Ulikuwa unasema?

ngeweka 50K yako uone ilivyokuwa inakugharimu

Sema hata wewe ulistuka ukaona mmmh hapa sio
 
Achana na Mimi we taahira Endelea kutangaza mpira
Mbona naendelea kama kawaida, We Punguani utazuia..!? Ungekuwa na akili timamu usingesema vile kwasababu huwa inatokea mara chache sana (typing Error), kwani hujiulizi kuwa mbona sehemu zote zipo sawa.

Ila kwa kuwa wewe ni Punguani Maloouni Waheed umepata mharo mkubwa sana kama Bata wa Kienyeji yaani.
 
Bila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.
Kwa aina ya wachezaji wa Simba hata ulete Carlo Ancelot atadunda
 
Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
Kama juzi Utopolo dhaifuuu (lowest ranked kwenye ligi ya losers) ilivyojipenyeza kwenye makundi ya shirikisho.
 
Wekundu wa Mgunda
FB_IMG_1668164604581~3.jpg
 
Back
Top Bottom